Kwasababu unafanya hali kama ilikua mbaya basi iwe mbaya zaidi.
Jambo la busara ambalo unatakiwa kulifanya katika kipindi hiki ni
kujipa moyo na kuendelea kutafuta njia na mbinu za kukufanya utoke hapo
ulipo.
Hapa ndiyo tunakuja kuona tofauti kati ya watu ambao ni washindi na wanashindwa, waliofanikiwa na wasiyo fanikiwa.
Watu waliofanikiwa na washindi ni wale watu ambao hawakukata tamaa pale mambo yalipokuwa mabaya, pale hali inapo onyesha kupoteza matumaini lakini wao wanaendelea kupambana,
Hakuna sumu mbaya katika maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa, kwasababu ndiyo chanzo cha kushindwa kwa Ndoto nyingi kutotimia.
Kumbuka kufanya yafuatayo pale unapokuwa unapita kwenye hali Ngumu kimaisha kwasababu hali mbaya haziepukiki ila kinacho takiwa zaidi ni kujua namna ya kukabiliana nazo.
1. Jaribu kukumbuka kipindi ambacho ulifanikisha jambo Kubwa katika maisha yako
Huu ndiyo msingi wa kujenga fikra chanya jaribu kukumbuka kipindi ambacho ulifanya vizuri na ukatengeneza mazingira ya kufanikiwa.
2. Tambua ya kuwa hakuna hali ya kudumu
Kila jambo linamsimu wake huja na kuondoka. Kwahiyo usichanganyikiwe sana pale mambo yanakuwa hayaendi sawa
4. Hesabu mambo uliyo yafanikisha mpaka sasa hivi, jiulize umeyafanikishaje na jua kwamba hili nalo unalolipitia utalitatua pia
5. Angalia zaidi namna ya kufanya hali yako ya baadae kuwa bora kuliko kuendelea kuhesabu makosa yako
Usiendelee kujilaumu kwa makosa yaliyo kwisha kufanyika. Ila focus zaidi kwenye matokeo unayo yataka kuyapata katika maisha yako.
Hakuna kitu kizuri kinacho kuja kirahisi
_Kumbuka hakuna ambae hapitii changamoto katika maisha yake, ila wengi huishia kukataa tamaa na kupoteza muelekeo, lakini watu waliofanikiwa hupambana mpaka mwisho_
Imeandikwa Daniel yonah kwa mawasiliano +255743001529

0 comments: